У нас вы можете посмотреть бесплатно WATOTO WA MASHIMBA WAIOMBA SERIKALI IINGILIE MGOGORO WAO WA ARDHI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Dar es Salaam. Wakati Neema Mashimba, mtoto wa aliyekuwa Mkemia Mkuu wa Serikali, Ernest Mashimba akiiomba Serikali kuingilia kati eneo lao lililotwaliwa na mfanyabiashara, Ally Rubea kwa madai amepangishwa kwa miaka 99, mlalamikiwa mwenyewe amejibu akisema aliuziwa eneo husika. Akielezea hali ilivyokuwa, Neema amesema baada ya Rubea kuingia kwenye eneo lao lililopo Ploti Na 9 Ursino Estate Msasani Wilaya ya Kinondoni, kama mpangaji alibomoa nyuma yao na kufanya maegesho ya magari. Kufuatia madai hayo, Mwananchi ilimtafuta Rubea ambaye amesema ukweli kwenye jambo hilo unapotoshwa kwani aliuziwa eneo hilo na familia baada ya kutangazwa kupitia madalali.