У нас вы можете посмотреть бесплатно CHAMA CHA WANANCHI CUF MTWARA, WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA KURUHUSU MIKUTANO YA HADHARA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Taifa Mh. Maftaha Abdallah Nachuma, Jana Februali 12 2023, ameongoza Mkutano wa hadhara wa Chama hicho Mtwara vijijini uliofanyika katika Kijiji cha Msangamkuu na kuhudhuriwa na Viongozi na Wanachama mbalimbali kuanzia ngazi ya Vitongoji hadi Taifa huku akitumia nafasi hiyo kumpongeza Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia Suluhu Hassan kwa kutoa ruksa kwa Vyama vya siasa kuendelea kufanya Mikutano ya hadhara. Nae Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini Mh. Shamsia Aziz Mtamba, ameongezea katika kumpongeza Mh. Rais huku akisisitiza kuwa yeye ni Mbunge anaefanya kazi na watu wa Vyama vyote. USISAHAU KU SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA FAIDA ONLINE TV KISHA BONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU