У нас вы можете посмотреть бесплатно MBUNGE, MWAMBE AFANYA ZIARA UKAGUZI WA MIRADI JIMBONI KWAKE. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MBUNGE, MWAMBE AFANYA ZIARA UKAGUZI WA MIRADI JIMBONI KWAKE. MBUNGE wa jimbo la Masasi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu, Uwekezaji, Geoffrey Mwambe amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo hilo ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya barabara kwa kiwango cha rami, ujenzi wa kituo cha afya mtandi na ujenzi wa vyumba vya madarasa. Ziara hiyo ni mwendelezo wa ziara za Mbunge huyo kila anapofika jimboni mwake ikiwa ni hatua ya uhamasishaji miradi ya maendeleo kwa lengo kuleta tija kwa wananchi. Mbunge Mwambe amesema kuwa katika ziara yake aliyoifanya ya kukagua miradi ya maendeleo ndani ya jimbo lake amefurahishwa na kasi ya utekelezaji wake na kwamba hadi sasa inatekelezwa kikamilifu. "Katika ziara yangu nilivyoifanya leo nimeona miradi mingi ikiendelea kutekelezwa kama tunavyoahidi hasa tunampongeza rais Samia Suluhu na serikali yake ya chama cha Mapinduzi namna inavyotoa fedha za maendeleo," alisema Mwambe Kwa upande, diwani wa kata ya , Mtandi...alisema anampongeza mbunge Mwambe kuwa jitihada zake za kuleta maendeleo katika jimbo la Masasi na kwamba amekuwa mstari wa mbele katika kuwapiginia wananchi wa Masasi. Amesema kata ya mtandi miongoni mwa kata za jimbo la Masasi inayotekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa kituo cha afya kinachogharimu zaidi ya Sh.250 Milioni ujenzi vyumba vitano vya madarasa katika shule ya sekondari ya mtandi vinavofharimu zaidi ya Sh.100 Milioni Aidha, baadhi ya wananchi waliohojiwa na Masasione online Tv wamesema kuwa kwa sasa jimbo la Masasi limekuwa na kasi kubwa ya maendeleo kwenye sekta mbalimbli hasa barabara, elimu na maji Wamesema jitihada hizo zote wanatumbua zinafanywa na mbunge Mwambe hivyo wanampongeza kwa moyo huo.