У нас вы можете посмотреть бесплатно DKT GWAJIMA AWAHIMIZA WANANCHI KUUPOKEA na KUULINDA MRADI wa PAMOJA kwa USTAWI wa KIUCHUMI.. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DKT GWAJIMA AWAHIMIZA WANANCHI KUUPOKEA na KUULINDA MRADI wa PAMOJA kwa USTAWI wa KIUCHUMI.. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amewataka wananchi waliopo katika Halmashauri 40 zilizopo katika Mikoa 10 ya Arusha, Mwanza, Kagera, Mara, Singida, Shinyanga, Geita, Rukwa,Tabora na Simiyu waupokee na kuulinda Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania (PAMOJA) ili kuwanufaisha wanawake kiuchumi pamoja na kuzuia na kukabiliana na ukatili wa kijinsia (GBV). Dkt. Gwajima ametoa wito huo Machi 08, 2026 Mkoani Geita kwa wananchi wa mikoa hiyo 10 na Halmashauri zake 40 ambazo zinatekeleza mradi huo wa PAMOJA, mara baada ya kuuzindua rasmi mradi wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. ================================================================= ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx