У нас вы можете посмотреть бесплатно KATIBU TAWALA DODOMA AIPONGEZA TEMESA KWA HUDUMA YA UKAGUZI WA MAGARI WILAYANI DODOMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katibu Tawala wa Wilaya ya Dodoma Bi. Sakina Mbugi ameipongeza Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) kwa hatua ya kupeleka huduma ya ukaguzi wa magari moja kwa moja katika ofisi za Serikali za wilaya ya Dodoma pamoja na ofisi za halmashauri ya jiji, hatua iliyolenga kuhakikisha magari yote yanayotumika na taasisi za umma yanakuwa salama na katika hali bora ya kutumika. Akizungumza leo wakati wa zoezi hilo la ukaguzi lililofanyika wilayani humo, Katibu Tawala alisema kuwa huduma hiyo ni ya kipekee na inadhihirisha dhamira ya kweli ya TEMESA katika kuimarisha utoaji wa huduma kwa wateja wake, huku akiwasihi viongozi wa TEMESA kuhakikisha huduma hiyo inakuwa ya kudumu na inaingizwa kwenye mfumo.