У нас вы можете посмотреть бесплатно MAJIBU YA VIOGOZI BARAKA BONIVENTURE & ELIZA MGELWA KUHUSU UONGOZI WA KANISA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika uongozi wa kanisa hasa ngazi ya wanafunzi wa vyuo vikuu kumekuwa na vitu vingi vya kujifunza hasa pale unapoona vijana wadogo wanaweza kuwa organized vizuri na kumtukuza Mungu kwa viwango vikuwa ilihali vyuoni ni sehemu mojawapo inayoaminika kuwa na mambo mengi ya mmomonyoko wa maadili, changamoto nyingi za ujana, vishawishi vinavyorudisha wengi katika huduma. Baraka Boniventure (M/kiti) na Eliza Mgelwa (makamu M/kiti) wamekuwa viongozi wetu wa kanisa kwa awamu ya 2024/2025. katika haya majadiliano utapata kuona namna ambavyo Mungu anajitukuza kupitia mtu hasa kijana anapoamua kutulia na kumtii Mungu, maana Mungu wetu anafanya kazi na watu wote wampendao, licha ya changamoto zote za utumishi.