У нас вы можете посмотреть бесплатно Safisha Njia || Dodoma Adventist Chorus или скачать в максимальном доступном качестве, которое было загружено на ютуб. Для скачивания выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SAFISHA NJIA Verse 1 Mimi ni mdhaifu Siwezi kutembea, Nimebeba mzigo mzito, Sijui ni nani atanitua, Nimesikia leo, yupo mtu anaeweza kunitua mzigo wangu, Yesu naomba nionane naye. Verse 2 Nguo zangu Ni chafu Siwezi jisafisha Hata mwili huu wa udongo Naona hauna thamani tena Kweli ninayo haja Kuonana naye sasa tabibu na mwokozi wangu Yesu naomba anitakase. Chorus Safisha njia ili nipite Nataka kumwona mwokozi kwanza Nizunguze naye kwa kina, Nimweleze ya moyoni mwangu, Suluhisho pekee lililobaki Ni NENO lake na Upendo wake Neema yake Rehema zake Msamaha vitaniokoa Verse 3 Macho yangu dhaifu Siwezi ona mbele Hata Baraka nil'opewa Sioni ni Kama zimejificha Tazama Leo nimekuja Kufunguliwa macho yangu yaone Nataka kumwona Bwana Leo haja yangu isikiwe Chorus Safisha njia ili nipite Nataka kumwona mwokozi kwanza Nizunguze naye kwa kina Nimweleze ya moyoni mwangu, Suluhisho pekee lililobaki Ni NENO lake na Upendo wake Neema yake Rehema zake Msamaha vitaniokoa Chorus (unison) Safisha njia ili nipite Nataka kumwona mwokozi kwanza Nizunguze naye kwa kina, Nimweleze ya moyoni mwangu, Suluhisho pekee lililobaki Ni NENO lake na Upendo wake Neema yake Rehema zake Msamaha vitaniokoa ...... Hali ya mwanadamu Ni dhaifu kiasi kwamba hawezi kutembea peke yake, Nguo zake ni chafu, hawezi kujisafisha mwenyewe na isitoshe, Katika hali ya kiroho mwanadamu Ni kipofu, hawezi kuona hata mibaraka mingi aliyopewa na Bwana. Suluhisho pekee lililobaki Ni kwenda Bwana na Mwokozi aliyemuumba ili akapate NEEMA, REHEMA na MSAMAHA ambavyo hupatikana kwa Bwana pekee. Bwana akubariki unapotazama na kusikiliza wimbo huu. Artist: Dodoma Adventist Chorus Song Title: Safisha Njia Instrumentation: @mjmusicclassics Audio Mixing and mastering: BJ Brand Email: [email protected] CONTACTS +255 712 227 383 +255 784 291 945 You can also find us on: Audiomack: https://audiomack.com/dodomaadventist... Boomplay: https://www.boomplay.com/share/music/... Instagram / dodomaadventistchorus