У нас вы можете посмотреть бесплатно KUSHONEA WEAVING NA KUWEKA MSTARI UWE KAMA NYWELE YAKO / DIY NATURAL PARTING SEW IN WEAVE /Vivianatz или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hello dear , Leo nimewafundisha jinsi ya kushonea weaving na kutengeneza mstari au way iliyo natural bila kutumia closure, gundi wala kuachia nywele. Naitwa Viviana karibu saana kwenye channel hii ambayo itakuwezesha kujifunza namna ya kusuka mitindo mbali mbali ya nywele hata kwa wasio jua kusuka kabisa , utajifunza pia kupaka makeup za aina mbali mbali, kutunza nywele asilia , mitindo ya mavazi ,utambuzi wa bidhaa nzuri na bora za urembo na mengi yanayohusu urembo. Kupitia video zangu za mafunzo ya urembo wengi wamejipatia ujuzi na kufungua biashara zao binafsi za Salon ,pia wengi wameweza kujisuka wenyewe ,karibu nawe katika familia yetu ya urembo . NEW VIDEO / VIDEO MPYA ? MONDAY AND FRIDAY at 07:00am PROUCT USED / BIDHAA NILIZOTUMIA TIZAMA VIDEO NYINGINE BONYEZA LINK HAPO CHINI / PRESS LINK FOR MORE KUTENGENEZA KIBANIO CHA AFRO PUFF/ DIY AFRO PUFF DRWAW STRING PONYTAIL • KUTENGENEZA KIBANIO CHA AFRO Puff / DIY Af... KUBANA NYWELE FUPI NZIGA STYLE (Natural hair style Nziga) • Kubana nywele fupi NZIGA STYLE(natura hair... KUSUKA RASTA ZA MABUTU YA KUANZIA CHINI • KUSUKA RASTA ZA MABUTU YA KUANZIA CHINI KUSUKA AFRO KINKY NJIA RAHISI • MITINDO TOFAUTI YA LOCS /HOW TO DIY DIFFE... KUSUKA DISTRESS LOCS KUTUMIA SELFIE + PASSIONTWIST • KUSUKA DISTRESS LOCS KWA KUTUMIA SELFIE X ... KUBANA NYWELE FUPI HAKUNA MATATA STYLE (Short natural hair Hakuna matata) • Kubana nywele Fupi "Hakuna Matata Style" (... KUSUKA CROCHET YA KUTYMIA RASTA ZA 1500/= • Kusuka Crochet kwa kutumua Rasta za tsh 15... MAKEUP FOR BEGINNERS • Beginner Makeup series MITINDO YA MAVAZI/ TRY ON HAUL FASHION • MITINDO YA MAVAZI /TRY ON HAULS MAFUNZO YA MAKEUP / MAKEUP TUTORIALS • Mafunzo Ya Makeup/Makeup Tutorials MAFUTA MAZURI YA NGOZI / SKIN CARE PRODUCTS REVIEW Business inquiries/ Mawasiliano kwa ajili ya biashara Email ; [email protected] Karibu tuwe marafiki nifollow kupitia INSTAGRAM ; https://instagram.com/vivianatz.offic... Asante kwa kutizama video hii, karibu ujiunge nami katika mafunzo haya kwa kubonyeza alama ya Subscribe na alama ya kengele ili kuwa mmoja wa familiahii na kupata taarifa kila ninapoweka video mpya ya mafunzo.