У нас вы можете посмотреть бесплатно Gordon Kogalloh GK - Niambie Ee Mlinzi (NZK. 74) (Official Music Video)(SMS 'SKIZA 6938551' To 811) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Stay blessed even as you watch and sing along this hymn. Artist: Gordon Kogalloh GK Song Title: Niambie Ee Mlinzi Audio: Heartlens Records Video: Perfect Media 074 - Niambie, Ee Mlinzi "Watchman, Tell Us Of The Night" 1 Niambie, Ee mlinzi, Umepambazuka je! Utukufu wa Zayini, Pana dalili zake? Msafiri uondoke, Utazame mbinguni, Kiunoni ujifunge, Ni kucha alfajiri. 2 Mlinzi inamulika Nuru njiani mwako, Dalili za kuja kwake, Kwamba siku karibu; Panda itakapolia Itawaamsha wafu, Watakatifu wa Mungu, Kuwapa kutokufa. 3 Mlinzi, ione nuru Ya mwaka wa Sabato; Sauti zinatangaza Ufalme ni karibu; Msafiri ninaona Mlima wa Zayuni, Mji wa Yerusalemi Nayo fahari yake. 4 Kwenye mji wa dhahabu Anaketi mfalme Katika kiti kizuri: huku anatawala. Pana amani po pote, Mashamba husitawi; Na ardhi ina rutuba; Mito ni mitulivu. 5 Mlinzi, twaribia Nchi iliyo nzuri; Twende mbele, tufurahi, Nchi inachangamka, Sikieni kuna wimbo Wa waliookoka; Kaza mwendo, Ujiunge Na kundi Kubwa hili.