У нас вы можете посмотреть бесплатно 𝐌𝐀𝐓𝐔𝐌𝐈𝐙𝐈 𝐘𝐀 𝐀𝐊𝐈𝐋𝐈 𝐇𝐈𝐒𝐈𝐀 (𝐄𝐌𝐎𝐓𝐈𝐎𝐍𝐀𝐋 𝐈𝐍𝐓𝐄𝐋𝐋𝐈𝐆𝐄𝐍𝐂𝐄) 𝐊𝐀𝐓𝐈𝐊𝐀 𝐔𝐎𝐍𝐆𝐎𝐙𝐈, 𝐃𝐇𝐀𝐍𝐀 𝐍𝐀 𝐔𝐌𝐔𝐇𝐈𝐌𝐔 𝐖𝐀𝐊𝐄 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
𝗠𝗮𝘁𝘂𝗺𝗶𝘇𝗶 𝘆𝗮 𝗔𝗸𝗶𝗹𝗶 𝗛𝗶𝘀𝗶𝗮 (𝗘𝗺𝗼𝘁𝗶𝗼𝗻𝗮𝗹 𝗜𝗻𝘁𝗲𝗹𝗹𝗶𝗴𝗲𝗻𝗰𝗲) 𝗞𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗨𝗼𝗻𝗴𝗼𝘇𝗶 Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akifunga Semina Elekezi kwa Mawaziri na Watendaji Wakuu wa Taasisi Jijini Arusha, alieleza kwamba Mada ya Akili Hisia (Emotional Intelligence) imekuwa na msisimuko mkubwa kwa washiriki wa Mkutano huo. Bila shaka ni kutokana na umuhimu wake katika Uongozi na Maisha yetu ya kila Siku. Tafiti zinaeleza kwamba kuna uhusiano mkubwa kati ya Intelijensia ya Mihemko au Akili Hisia (Emotional Intelligence) na Mafanikio katika Uongozi au mambo mbalimbali. Wanasaikolojia wanasema watu wenye kiwango kikubwa cha intelijensia ya Mihemko wanafanya vizuri katika shughuli zao kama vile uongozi, biashara, nk kuliko watu wenye kiwango kidogo cha EQ. Katika utafiti uliofanywa na Mwanasaikolojia na Mwandishi Prof. Daniel Goleman, kuchunguza mchango wa Uwezo wa Uwezo wa kiakili (IQ) na Intelijensia ya Mihemko (EQ) katika mafanikio, ulionesha kwamba watu wenye kiwango kikubwa cha EQ kuliko IQ walikuwa wanafanya vizuri sana, kuliko watu wenye kiwango kikubwa Cha IQ na kiwango kidogo cha EQ. Aidha, ripoti ya World Economic Forum 2016 (The Future of Job Report) Intelijensia ya Mihemko (EQ) ilitajwa kuwa namba 6 kati ya stadi 10 ambazo watu wanahitaji kuwa nazo ili kufanikiwa katika kazi zao. Intelijensia ya Mhemko inahusiana na uwezo wa kutambua, kuelewa na kuikabili mihemko yako na ile ya wengine, ni kujielewa wewe mwenyewe na kuwaelewa watu wanaokuzunguka au kufanya nao kazi. Wataalamu wanasema Kuna uhusiano mkubwa sana Kati ya mafanikio Katika Uongozi na na kiwango cha Inteligensia ya Mihemko. Hii ni kutokana na Ukweli kwamba watu wenye kiwango cha juu cha EQ wanajitambua na wana uwezo kudhibiti hali zinazojitokeza kwao ili kutoleta madhara kwa wengine, wana uwezo wa kujitathimini na kuchukua hatua (self regulation), uwezo wa kutoa matokeo bora bila kusukumwa na mtu (self motivated), wana uwezo wa kuvaa viatu vya wengine (Empathy), na wana uwezo mkubwa wa kutengeneza mahusiano mazuri na watu wanaowazunguka (Social Skills). Tabia hizo ni muhimu sana kwa kiongozi yeyote kwani zina Athari katika kutengeneza Mazingira mazuri mahala pa kazi, kuchochea ubunifu, ushirikiano nk Kwa mujibu wa Prof. Daniel Goleman EQ inahusisha sehemu kuu tano ambazo ni:- Self-awareness, Self-regulation, Motivation, Empathy na Social skills.