У нас вы можете посмотреть бесплатно POLISI Hamkuajiriwa Kufyeka Mashamba ya Bangi - Magufuli или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
POLISI Hamkuajiriwa Kufyeka Mashamba ya Bangi - Magufuli Rais John Pombe Magufuli, leo ameshuhudia maeonesho maalum ya jeshi la polisi, ya jinsi jeshi hilo linavyofanya kazi kupambana na wahalifu na kuwalinda rais na mali zao. Rais Magufuli ameshuhudia maonesho hayo katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake jijini humo ambapo awali alizindua ukuta Mererani, baadaye akafungua chuo cha utalii chenye hadhi ya kidiplomasia na baadaye pia akazindua nyumba za polisi ambao awali waliunguliwa na nyumba zao. Baada ya maonesho hayo, ilifuatia hotuba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro ambaye alimueleza Rais Magufuli, mafanikio na changamoto za jeshi la polisi. Baada ya hapo alifuatia Naibui Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni ambaye naye alizungumza machavhe mbele ya mheshimiwa rais kabla ya kumpisha Waziri Mwigulu Nchemba. lnstal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .