У нас вы можете посмотреть бесплатно TANESCO YAPIGA MARUFUKU WIZI NA UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU YA UMEME или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#HABARI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema halitasita kuchukua hatua kali dhidi ya mtu yeyote atakayebainika kuhusika na wizi au uharibifu wa miundombinu ya umeme, kwani vitendo hivyo ni uhujumu uchumi vinavyosababisha hasara kubwa kwa Shirika na Taifa kwa ujumla. Kauli hiyo ilitolewa na Afisa Usalama Mwandamizi wa TANESCO, Bw. Steven Maganga, katika zoezi la ukaguzi wa mita lililofanyika Magomeni, Mburahati jijini Dar es Salaam. Katika ukaguzi huo, TANESCO ilibaini baadhi ya wateja kufungua mita na kuweka vifaa maalumu (Resistor) vinavyopunguza kasi ya usomaji wa matumizi halisi ya umeme. “Tumembaini mteja ambaye ameharibu miundombinu kwa makusudi kwa kufungua mita na kuweka Resistor ili kupunguza usomaji wa matumizi tofauti na hali halisi,” alisema Bw. Maganga. Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg