У нас вы можете посмотреть бесплатно 49. Kuoga (7) - Namna ya kuoga janaba - Sheikh Abdul Majid или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Namna ya kuoga ghusl; Kuna aina mbili za ghusl; tartibiy na Irtimasiy. Ama namna ya kuoga tartibiy ni; Niyyah Kuosha kichwa na shingo Kuosha upande wa kulia wa mwili Kuosha upande wa kushoto wa mwili Namna ya kuoga irtimsiy Niyyah Kupiga mbizi mara moja na kubaki humo kiasi cha kuhakikisha sehemu zote za mwili zimepata maji. Au akaingia majini taratibu hadi mwili wote kuzama majini. Au akiwa ndani ya maji atatia nia na kuutikisa mwili au akapiga mbizi mle mle majini.