У нас вы можете посмотреть бесплатно #Ametubeba или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ukikaa na Kutafakari ulikotoka? Bila shaka huwezi kukosa sababu ya kukiri kuwa Mungu amekubeba sana... ...kuwa na uhai hadi sasa, afya, familia, watu sahihi, elimu, kazi, huduma, ndoa, biashara... ...yote hayo ni sababu kukiri kuwa amekubeba, ukichunguza maisha yako, ni wazi utaona Mungu amekubeba na alivyokubeba wewe, si sawa na alivyombeba mwingine kwahiyo kwa nafasi yako, kiri uweza wake maishani mwako... ...kwa sababu bila yeye, usingefika ulipo maana wako ambao wasingetaka ufike, lakini kwa mkono wake ameruhusu... Nje na mambo ya kimwili, kutuokoa kwa Neema, ni kiwango cha juu katika kutubeba, maana hakuna ambaye angestahili mbele zake, isipokuwa yeye ndiye ametusitahilisha... sikiliza na tafakari na wimbo huu.