У нас вы можете посмотреть бесплатно RC CHALAMILA ABAINI UPORAJI WA ARDHI DAR, UTAPELI, ATOA SIKU SABA ZA HATARI "WAREJESHE MARA MOJA" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa siku saba kwa watu wote waliopora au kutapeli ardhi na mali za wananchi kuzirejesha, akionya kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaokaidi agizo hilo. Ameyasema hayo leo Machi 2, 2026, wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani Dar es Salaam, "ninayo orodha hapa ya baadhi ya watu ambao tumekwisha jithibitishia kwamba hawa ndiyo wamekuwa wanyang'anyi wakubwa wa ardhi katika Mkoa wa Dar es salaam na nina wapatia almost kama wiki moja tu ili wahakikishe zile ardhi ambazo wamezikalia ambazo sio zakwao basi katika Mkoa wetu waweze kuzirudisha" RC Chalamila