У нас вы можете посмотреть бесплатно KILICHOWAKUTA WAFUGAJI MNADANI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SIKONGE, Tabora: MIFUGO inayosafirishwa au kuuzwa katika minada hukumbwa na changamoto mbalimbali ikiwemo kukosa maji na chakula wakati wa safari, kupata majeraha kutokana na msongamano na usafirishaji usiozingatia ustawi wa mnyama, kuenea kwa magonjwa yanayotokana na kuchanganywa kwa mifugo kutoka maeneo tofauti, kuathiriwa na joto kali pamoja na hatari ya vifo njiani, hali inayosababisha hasara kwa wafugaji na kudhoofisha biashara ya mifugo kwa ujumla. Kufuatia hali hiyo, wataalam wa mifugo kutoka Kituo cha Mifugo Kanda ya Magharibi cha Wizara ya Mifugo wametoa mafunzo kwa wafugaji kuhusu usalama na ustawi wa mifugo pamoja na mbinu bora za uendeshaji wa biashara ya mifugo, mafunzo ambayo yalitolewa kwa wafugaji wakiwa katika eneo la mnada wilayani Sikonge mkoani Tabora, yakilenga kupunguza vifo, magonjwa na majeraha ya mifugo sambamba na kuongeza tija na thamani ya biashara hiyo. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09