У нас вы можете посмотреть бесплатно Nimezama by Miano Blaze (Lyrics music Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Artist: Miano Blaze song : Nimezama - Dommie Deal Produced @beatsbymianoblaze 📞📲 (+254 112 666 841) Lyrics. 👇👇 Ninataka nikupende Yaani wewe fundi wa roho yangu Unavyong'aa nikilala usiku ninakuotaga Ukisema unaniacha nitashinda nikilewa lewa chakari Siku zinaposonga Upendo wako kwangu waongezeka Yaani bila wewe mimi sili Machoni mwangu mimi siamini Nakupenda sana niamini Usije ukanitenda tenda mammy Nimezama Nimezama Nimezama kwenye penzi lako Nimezama Nimezama Moyo wangu ushauteka Nimezama Nimezama Nimezama kwenye penzi lako Nimezama Nimezama Moyo wangu ushauteka Niliishi kua single Maisha yangu yalikua ya upweke Toka nikutane nawe kiukweli umeyabadilisha Sitaki niwe mbali nawe Juu mimi nishakuzoea Mapenzi unayo nipa Kiukweli mimi napagawa Ukisema unaniacha nitashinda nikilewa lewa chakari Siku zinaposonga Upendo wako kwangu waongezeka Yaani bila wewe mimi sili Machoni mwangu mimi siamini Nakupenda sana niamini Usije ukanitenda tenda mammy Nimezama Nimezama Nimezama kwenye penzi lako Nimezama Nimezama Moyo wangu ushauteka Nimezama Nimezama Nimezama kwenye penzi lako Nimezama Nimezama Moyo wangu ushauteka Nimezama kwenye penzi lako Nimezama Nimezama Moyo wangu ushauteka Nimezama Nimezama Nimezama kwenye penzi lako Nimezama Nimezama Moyo wangu ushauteka #newsong #nimezama #mianoblaze #africanmusic #africanmusicvideos #trending #lovesong