У нас вы можете посмотреть бесплатно A-Z Mo Dewji Alivyopatikana Gymkhana, IGP Siro Afunguka или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Subscribes: / kidanistars Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP)Simon Sirro amesema jeshi lake kwa kushirikiana na #Interpol, linaendelea kuwasaka watu hao hadi wapatikane. “Miongoni mwa waliomteka #MoDewji, yumo Mtanzania, kwa wale wengine tayari makachero wameshapelekwa katika nchi husika ili kuwakamata watu wanaohusika kufanya tukio hilo. “Wananchi waendelee kutoa ushirikiano, kwani watu hawa wameanza kwa Mo, watafanya kwa mtu mwingine, kwa hiyo kuacha hizi silaha na kutelekeza gari hapa si mwisho, wa biashara hii ni lazima tuonyeshe hii ni Tanzania, lazima tuwapate,” amesema IGP Sirro. Aidha, IGP Sirro amesema kwa mujibu wa Mo, watekaji walikuwa wanazungumza lugha ya Kingereza na Kiswahili kwa mbali na amezitaja silaha zilizokutwa katika gari lililomtelekeza mfanyabiashara kuwa ni bunduki AK 47 na bastola tatu zenye risasi 19. “Kama nilivyowaeleza jana na kuwaonesha picha ya gari lililomteka Mo tukio halisi mmeliona gari ni lile lile Surf na kiukweli wangechelewa kumwachia ningewakamata na kuwakamata kwangu kungekuwa kwa aina,” amesema. Aidha IGP Sirro amewataka wananchi kuachana na habari za mitandaoni kwani lengo lake ni kupotosha umma. Subscribes: / kidanistars