У нас вы можете посмотреть бесплатно Mchango wa Tanzania katika mkutano wa 64 wa Kamisheni ya UN ya Maendeleo ya Kijamii или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili Kikao cha 64 cha Kamisheni ya Maendeleo ya Kijamii (CSocD64) kilichoanza tarehe pili mwezi huu wa Februari hapa katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani kimehitimishwa leo. Kamisheni hii ni chombo cha ushauri kinachohusika na nguzo ya maendeleo ya kijamii kwa maendeleo ya kimataifa. Anold Kayanda wa Idhaa hii amezungumza na mmoja wa waliohudhuria mkutano wa mwaka huu akiwakilisha Tanzania; Amon Mpanju, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na anaanza kwa kueleza zaidi kuhusu mkutano huu.