У нас вы можете посмотреть бесплатно JINSI YA KUPATA A, B,C YA NECTA KWA MASOMO YA SCIENCE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika somo la Leo Utafahamu jinsi ya kupata maksi za kukupatia grade A,B,na C Katika Theory na Practical kwa masomo ya physics, chemistry na biology Ili uweze kupata A Lazima upate kuanzia maksi 115. Ili uweze kupata B lazima uweze kuwa na maksi 100 Ili uweze kupata C lazima uweze kuwa na maksi 70 Ukiweza kubalansi maksi mojawapo kati ya hizo kwa theory na practical utweza kuwa katika ufaulu mzuri na Bora. Hivyo basi, #kuwezakupataA,B,C|theorynapractical SUBSCRIBE, LIKE, SHARE na wengine ili Wapate elimu hii Na usisahau kuniandikia maoni / ushauri / swali zuri kupitia sehemu ya maoni. ENDELEA kuwa nasi ndani Mitandao ya Kujifunza ya Ujuzi © / skillslearningnetworktz Kauli mbiu yetu ni Ujuzi bora kwa Wote FUATILIA MTANDAO WA; Instagram: jawadumaguru Facebook: jawadumaguru. Wasiliana nami Whatsap :0620226109 #J.D.Maguru#Skillslearningnetworktz# #Excellenceknowledgeforall#