У нас вы можете посмотреть бесплатно Unafahamu kwa nini Watanzania wengi wetu tukifunga vinywa vyetu meno ya juu na chini hayagusani? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wiki hii AfyaCheck tumewatembelea madaktari wawili mabingwa kabisa wa kinywa na meno; Dr. Haleema Hassan BDS, MDS (Orthodontics & Dentofacial Orthopaedics) na Dr. Sheerin BDS, MDS, Dep. Endo (IBE) waliopo kwenye hospitali mpya na ya kisasa kabisa ya Medinova Specialized Polyclinic iliyopo Oysterbay, Dar es Salaam. Madaktari hawa mabingwa wamezungumzia kwa kirefu kuhusu meno na maradhi ya kinywa ikiwemo sababu ya kwanini Watanzania wengi hatuwezi kufunga vinywa vyetu vizuri hali ambayo inapelekea tushindwe kuwa na mpangilio mzuri wa meno vinywani mwetu. . Uzuri ni kuwa madaktari hawa wote wapo hapa Tanzania kwenye hospitali hii Medinova Specialized Polyclinic iliyopo Oysterbay, Dar es Salaam, Tanzania. Unaweza kuonana nao kwa kuweka miadi kwa namba hii +255 695 112 233