У нас вы можете посмотреть бесплатно DKT ABBAS ALIPONGEZA JESHI KWA UJENZI WA NYUMBA MSOMERA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katibu mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii DKT Hassan Abbas amelipongenza Jeshi la Kujenga Taifa kupitia Shirika lake la uzalishaji mali Suma JKT kwa jitihada zake za kuendelea na ujenzi wa nyumba za wananchi wanao hamia Kwa hiyari kutoka hifadhi ya Ngorongoro na kuhamia kstika kijiji cha msomera. Wilayani Mkoani Tanga Hayo ameyasema wakati alipotembelea kuona maendeleo ya ujenzi nyumba hizo unaondelea katika kijijini cha Msomera. Kwa upande wake Mkuu WA wilaya ya Handeni Mhe. Albert Msando amezishukuru Taasisi mbalimbali zinashirikiana katika ujenzi huo Kwa namna walivyo shiriki kikamilifu kutemeleza mradi huu wa ujenzi wa nyumba hizo hadi kufikia asilimia 90%. Operashini Kamanda wa Mradi huo wa ujenzi wa nyumba 5000 msomera, Kanali Sadick Mihayo amewahakikishia wananchi wanaohamia kwenye nyumba hizo kuwa ni bora na zimenengwa kwa kiwango cha hali ya juu. Naye Kamishina uhifadhi Ngorongoro DKT Elirehema Doriye, ameishukru serikali ya jamhuri ya muungano Kwa kutenga Kijiji cha Msomera Kwa ajili ya wananchi wa Ngorongoro Ujenzi wa nyumba za Msomera mpaka sasa umefikia Asilimi 90 ambapo jumla ya nyumba 2500 kwa eneo la Msomera zitakamilila muda wowote kuanzia sasa, ambapo ujenzi huo utahamia maeneo mengine ya Kitwai na Kilindi.