У нас вы можете посмотреть бесплатно IEBC imemteua Moses Ledama Sunkuli kama kaimu Afisa Mkuu wa tume kwa muda wa miezi 6 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tume huru ya uchaguzi na Mipaka IEBC imemteua Moses Ledama Sunkuli kama kaimu Afisa Mkuu wa tume hiyo kwa muda wa miezi 6. Ledama Sunkuli mwenye tajriba ya miaka 12 kwenye masuala ya uchaguzi anachukua mahala pake Marjan Hussein Marjan ambaye aliondoka siku mbili zilizopita.Mwenyekiti wa tume hiyo Erastus Ethekon amesema kuwa Sunkuli atashikilia wadhifa huo hadi pale Afisa Mkuu atakapoteuliwa kikamilifu. Uteuzi wa Sunkuli ni mojawapo ya mabadiliko yanayofanyiwa IEBC huku mchakato wa maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027 ukishika kasi