У нас вы можете посмотреть бесплатно MHE OMO ASHIRIKI IKULU KUWAAPISHA VIONGOZI ZANZIBAR или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewaapisha viongozi wawili aliowateua hivi karibuni. Viongozi walioapishwa ni Mhe. Iddi Said Khamis, Kadhi wa Mahkama ya Kadhi ya Rufaa baada ya kuteuliwa na Mhe. Rais Dk. Mwinyi tarehe 24, Oktoba 2024. Kabla ya uteuzi huo, Kadhi Iddi Khamis alikuwa Mrajis wa Mahkama ya Kadhi Zanzibar. Mwengine ni Ndg. Hiji Dadi Shajak, Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazaji Zanzibar, Katika Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo. Kabla ya wadhifa huo, Ndg. Shajak alikua Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya Kurusha Maudhui, Zanzibar (ZMUX). Aidha, Shajak aliteuliwa Septemba, 25 mwaka 2024 kushika majukumu mapya. Wakizungumza kwenye hafla ya uapisho huo, iliyofanyika Ikulu, Zanznibar, viongozi hao walimuahidi Rais Dk. Mwinyi kuyafanyia kazi maelekezo yake yote na kuendeleza jitihada ya taasisi mpya wanazozitumikia kwa kuendeleza ushirikiano kwa Serikali na wadau wengine. Hafla ya uapisho huo ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali wakiwemo Makamu wa Kwanza na wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman na Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, viongozi wa Mahkama Kuu ya Zanzibar na Masheikh kutoka Ofisi ya Mufti, Zanzibar.