У нас вы можете посмотреть бесплатно Walter Chilambo - ONLY YOU JESUS (Official Music Video) For Skiza Sms "DIAL*811*757# или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Music Video for “Only You Jesus” by Walter Chilambo Watch the latest music videos by Walter Chilambo: • Walter Chilambo - Love On Fire (Offic... Listen to Walter Chilambo here: https://snd.click/glmqrfp Follow Walter Chilambo Instagram: / walterchilambotz YouTube: / walterchilambo Only You Jesus LYRICS Iyee iyeee Mmmmmhhh Maisha yangu yanawewe mungu Tumaini la moyo, kwako mim nimeliweka Msaada Wa karibu bwana, nitakusifu wewe tu nanitakutuza Nitapolemewa na mizigo, magonjwa na mateso sina wasiwasi tena Nipitapo uvuli wa mauti bwana, Gongo lako na fimbo yako vinanifariji bwana Umenifanya wa thamani umenitoa matopeni Umenikung'uta mavumbii ukanibariki Umenifanya hodari, ukanipa ujasiri Niliyekuwa sifai, umenibariki Only you, only you Only you, Jesus Elishadai Only you My god Only Jesus Ni ww unanitosha Ni ww unaefaa, my god Only you Kila njia ya mtu ni sawa, machoni pake mwenyewe Bali bwana upima mioyo Mawazo tuliyonayo nafaham naweza kujiona watakatifu Ila mbele zake hasara roho ni wadhaifu tu Jinyenyekeze mbele zake tupate thawabu milele Kwa kumtumikia yeye tu Yeye anaponyaa, anaokoa halo halo Kwangu ni mwaminifu huyu yesu Nitapolemewa na mizigo magonjwa na mateso sina wasiwasi tena Nipitapo uvuli wa mauti bwana gongo Lako na fimbo yako vinanifarijii bwana Umenifanya wa thaman umenitoa matopeni Umenikung'uta mavumbi, ukanibariki Umenifanya hodari, ukanipa ujasiri Niliyekuwa sifai, ukanibariki Iyee Only you, Jesus Simba wa yuda Only you, only you my god Hakuna kama wewe Only you, nitang'ang'ana na ww Jesus Jesus only you, ni wewe pekee yako tu Eehhh only you baba wa huruma ehh Jesus mwingi wa rehema ehh Only you hakuna kama wewe My god Mwenye kutoa buree Unayetupenda, Jesus Only you, yesu wangu My god, baba yangu