У нас вы можете посмотреть бесплатно Gospel Vessel - Hata Ndimi Elfu Elfu | Tenzai za Rohoni no 3 | (Lyrics) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#tenzizarohoni #nyimbozainjii #gospeltanzania #nyimbozakusifu #WORHIPSWAHILI WIMBO MPYA | Hata Ndimi Elfu Elfu 🙏 Karibu usikilize wimbo mpya wa injili unaoitwa “Hata Ndimi Elfu Elfu” — wimbo wa kumsifu, kumtukuza na kumshukuru Mungu kwa sauti na kwa matendo. Ni wimbo unaokukumbusha kuwa hata tukipewa ndimi elfu elfu, bado sifa zote zimstahili Mungu wetu 🙌 🎶 Wimbo huu umetokana na Tenzi za Rohoni, ukiwa na ujumbe wa unyenyekevu, shukrani na ibada ya kweli. Tunakukaribisha ubarikiwe, ushiriki kwa wengine, na kuacha maoni yako hapa chini. 📩 Maombi ya Nyimbo (Song Requests) Je, kuna wimbo wowote kutoka katika kitabu cha Tenzi za Rohoni ungependa tuuimbe? Tuma ombi lako moja kwa moja kupitia WhatsApp: 0679 756 935 👉 Usisahau Subscribe, Like, na Share ili Injili iwafikie wengi zaidi. Mungu akubariki sana 🤍