• ClipSaver
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Salama Na Profesa ep 55 | MAPINDUZI HALISI Part 1 скачать в хорошем качестве

Salama Na Profesa ep 55 | MAPINDUZI HALISI Part 1 4 years ago

Yah StoneTown YahStoneTown

SalamaJabir

SalamaNa

MarcoChali

Jokate

FidQ

MxCarter

KhadijaKopa

Gigi Money

Gigy Money

MwanaFA

Ay

DiamondPlatnumz

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Salama Na Profesa ep 55 | MAPINDUZI HALISI Part 1
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Salama Na Profesa ep 55 | MAPINDUZI HALISI Part 1 в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Salama Na Profesa ep 55 | MAPINDUZI HALISI Part 1 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Salama Na Profesa ep 55 | MAPINDUZI HALISI Part 1 в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Salama Na Profesa ep 55 | MAPINDUZI HALISI Part 1

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #0762797291 Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/support SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs Listen our Podcast on Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬ ‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬ GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack ‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa Joseph Haule ni mmoja ya binadamu ambao nawapenda sana kwenye dunia hii na huwezi kuamini hata yeye anajiskia hivyo juu yangu, nikiwa naye vibe na story zetu huwa zinabamba sana. Kuanzia story za maisha, muziki, historia na hata kuwacheka watu wakati mwengine, ndo zetu. Nakumbuka baada ya kumsaka asubuhi moja hivi na yeye kutodaka simu (ambayo baadae aliniambia alimpigia Sallam simu akidhani yeye ndo aliyempigia badala ya Salama), hayo maelezo niliyapata baada ya yeye kukutana na tweet ya kulalamika kwangu juu ya yeye kutorudisha simu yangu. Tumetoka mbali kiasi chetu, mkubwa kwangu kwa miaka 7 na heshima yangu kwake si ya kupima kwa kisoda. Unaweza ukawa unajiuliza sasa mbona hatukuoni naye na mambo kama hayo (hiyo mambo kama hayo nimeongea kama yeye) well... Urafiki wetu si ule wa kugandana kama kifungo na shati, au kichwa na nywele au kucha na kidole ndugu yangu, urafiki wetu ni ule wa kuendeleza pale tulipoishia na kuangalia na kwa mbali juu ya kitu mwenzio anafanya huku tukitakiana Kheri. Nakumbuka vizuri mara yangu ya kwanza kukutana na Profesa, enzi za Times FM kule mjini, kipindi hiko mimi ndo nimepata ajira yangu ya kwanza na yeye ndo alikua Msanii wa mooto sana, hard blasters wako na moto wa tipa, na nani ndo kiongozi wa nyika? Nigga Jay. Urafiki wetu ulianzia hapo, na mpaka leo tunamshkuru Mungu. Ukuaji wake hasa ndo nia na madhumuni ya mimi na wenzangu kuona Prof atatufaa sana kumalizia episode yetu ya 55 na ngwe ya kwanza ya kazi yetu hii. Zaidi kama tujuavyo, hakuna msanii hata mmoja ambaye hajawahi kuvutiwa na hustle zake za kuanzia juzi mpaka leo hapa tulipo. Na hiyo inajumuisha kipaji na UANDISHI ulosimamia kucha. Jay tunakuzimia indeed! So wapi haya yoooote yalianzia? Mpaka sasa Mbunge nje ya Bunge? Well... Hata mbuyu ulianza kama mchicha, humu Prof anazungumza na sisi juu ya masuala ya familia na safari alizopitia, mikoa aliyowahi kuishi, mahusiano kati ya Marehemu Baba yake na Mama yake, wadogo zake, Kaka na Dada zake, elimu yake, experience yake mjengoni, nini maana ya baadhi ya vitu na mambo aliyowahi kuyapitia. Pia tuliongelea kupatikana kwa binti yake pekee Lisa, jinsi alivyokutana na mke wake, kipaji chake, kwanini Mikumi na kwa mbaaali uchaguzi mkuu uliopita. Profesa ni mwana flani ivi ambaye toka zamani ramani ya mambo yake yako mfuko wa nyuma, kupotea au kupoteza malengo si jambo rahisi kwake, labda kuchelewa tu kwa hayo aloyapanga. Na hivi sasa kwa miaka mitano hii ambayo yuko nje ya bunge, pengine ndo wakati wetu wa kufaidi kipaji chake na kuokota mawili matatu kwa wale wote tunao muangalia na kupenda nyenendo zake. Tafadhali enjoy. Love, Salama. Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible &...   Follow: Twitter:   / yahstonetown   Instagram:   / yahstonetown   Facebook:   / yahstonetown   Channel Administered by Slide Digital Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz

Comments
  • Salama Na Profesa ep 55 | MAPINDUZI HALISI Part 2 4 years ago
    Salama Na Profesa ep 55 | MAPINDUZI HALISI Part 2
    Опубликовано: 4 years ago
    50653
  • EXCLUSIVE: NDUGU ZANGU WAMEUZA MALI ZANGU NYINGI, SASA HIVI NI KAMA NAANZA UPYA - PROFESA JAY PART 2 6 months ago
    EXCLUSIVE: NDUGU ZANGU WAMEUZA MALI ZANGU NYINGI, SASA HIVI NI KAMA NAANZA UPYA - PROFESA JAY PART 2
    Опубликовано: 6 months ago
    330140
  • Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1 4 years ago
    Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1
    Опубликовано: 4 years ago
    571896
  • Имшаб #10 бо Нигина Амонкулова | نگینه امانقلوا 3 weeks ago
    Имшаб #10 бо Нигина Амонкулова | نگینه امانقلوا
    Опубликовано: 3 weeks ago
    193410
  • Queen Esther – Between Shadows and Silence /Persian Ambient Music 4 days ago
    Queen Esther – Between Shadows and Silence /Persian Ambient Music
    Опубликовано: 4 days ago
    735
  • Mkasi | S13E03 with Master Jay Extended Version 9 years ago
    Mkasi | S13E03 with Master Jay Extended Version
    Опубликовано: 9 years ago
    80122
  • Богатый Техас и трешовая Луизиана: мой роуд-трип по югу США | Интервью с ковбоями, мигранты, Трамп 3 days ago
    Богатый Техас и трешовая Луизиана: мой роуд-трип по югу США | Интервью с ковбоями, мигранты, Трамп
    Опубликовано: 3 days ago
    532309
  • PART 1: UTASHANGAZWA NA UWEKEZAJI HUU/ NG'OMBE ANAUZWA MILIONI 30 11 months ago
    PART 1: UTASHANGAZWA NA UWEKEZAJI HUU/ NG'OMBE ANAUZWA MILIONI 30
    Опубликовано: 11 months ago
    273951
  • DKT KIMEI AFICHUA SIRI NZITO | Mkewe alidhani amerogwa baada ya kuacha BOT na Kujiunga na CRDB 1998! 3 days ago
    DKT KIMEI AFICHUA SIRI NZITO | Mkewe alidhani amerogwa baada ya kuacha BOT na Kujiunga na CRDB 1998!
    Опубликовано: 3 days ago
    14263
  • PROF JAY: MWANA FA KWANGU NI BWANA MDOGO,NILIMFANYA FID Q ASIACHE MUZIKI,LUNYA DIZASTA NI BORA 6 months ago
    PROF JAY: MWANA FA KWANGU NI BWANA MDOGO,NILIMFANYA FID Q ASIACHE MUZIKI,LUNYA DIZASTA NI BORA
    Опубликовано: 6 months ago
    27970

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS