У нас вы можете посмотреть бесплатно MBUNGE KISWAGA AIDHINISHA 84 MILIONI KUCHOCHEA MIRADI MINNE YA MAENDELEO -MAGU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa jimbo la Magu, Mhe.Boniventura Destery Kiswaga ameishinisha Tsh. 84,176,000.00 za mfuko wa jimbo kutumika kuchochea miradi minne ya maendeleo-Magu. Uamuzi huo umefikiwa katika kikao cha Kamati ya mfuko wa kuchochea maendeleo ya jimbo, iliyoketi leo 24.02.2026 chini mwenyekiti ambaye Mhe.Mbunge wa jimbo. Miradi iyotengewa fedha kutoka mfuko wa jimbo, Miwili ya afya, mmoja Elimu Sekondari na mmoja Elimu Msingi. Ambapo Tsh15,000,000, imepitishwa kukamilisha ujenzi wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Kayenze B Kata ya Nkunguru sanjali na mradi wa jengo la zahanati ya Kijiji Ng'watelesha Tsh.15,000,000.00, Ukalimishaji vyumba viwili shule mpya ya Sekondari Kitomngosima Tsh 24,000,000.00 na 30,000,000.00 kuendeleza ujenzi wa shule mpya ya Msingi Lugeye. Imetolewa na Ofisi ya Mbunge Jimbo la Magu.