• ClipSaver
ClipSaver
РусскиС Π²ΠΈΠ΄Π΅ΠΎ
  • Π‘ΠΌΠ΅ΡˆΠ½Ρ‹Π΅ Π²ΠΈΠ΄Π΅ΠΎ
  • ΠŸΡ€ΠΈΠΊΠΎΠ»Ρ‹
  • ΠžΠ±Π·ΠΎΡ€Ρ‹
  • Новости
  • ВСсты
  • Π‘ΠΏΠΎΡ€Ρ‚
  • Π›ΡŽΠ±ΠΎΠ²ΡŒ
  • ΠœΡƒΠ·Ρ‹ΠΊΠ°
  • Π Π°Π·Π½ΠΎΠ΅
БСйчас Π² Ρ‚Ρ€Π΅Π½Π΄Π΅
  • Π€Π΅ΠΉΠ³ΠΈΠ½ Π»Π°ΠΉΡ„
  • Π’Ρ€ΠΈ ΠΊΠΎΡ‚Π°
  • Π‘Π°ΠΌΠ²Π΅Π» адамян
  • А4 ΡŽΡ‚ΡƒΠ±
  • ΡΠΊΠ°Ρ‡Π°Ρ‚ΡŒ Π±ΠΈΡ‚
  • Π³ΠΈΡ‚Π°Ρ€Π° с нуля
Π˜Π½ΠΎΡΡ‚Ρ€Π°Π½Π½Ρ‹Π΅ Π²ΠΈΠ΄Π΅ΠΎ
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Mkasi | SO9E11 with Zitto Kabwe ΡΠΊΠ°Ρ‡Π°Ρ‚ΡŒ Π² Ρ…ΠΎΡ€ΠΎΡˆΠ΅ΠΌ качСствС

Mkasi | SO9E11 with Zitto Kabwe 10 years ago

Bongo Flava

Tanzania

Kenya

Uganda

Aytanzania

Mxcarter

Bongo

Swahili

News

Ay

MwanaFA

Diamond

zitto kabwe

zitto

kabwe

chadema

НС удаСтся Π·Π°Π³Ρ€ΡƒΠ·ΠΈΡ‚ΡŒ Youtube-ΠΏΠ»Π΅Π΅Ρ€. ΠŸΡ€ΠΎΠ²Π΅Ρ€ΡŒΡ‚Π΅ Π±Π»ΠΎΠΊΠΈΡ€ΠΎΠ²ΠΊΡƒ Youtube Π² вашСй сСти.
ΠŸΠΎΠ²Ρ‚ΠΎΡ€ΡΠ΅ΠΌ ΠΏΠΎΠΏΡ‹Ρ‚ΠΊΡƒ...
Mkasi | SO9E11 with Zitto Kabwe
  • ΠŸΠΎΠ΄Π΅Π»ΠΈΡ‚ΡŒΡΡ Π’Πš
  • ΠŸΠΎΠ΄Π΅Π»ΠΈΡ‚ΡŒΡΡ Π² ОК
  •  
  •  


Π‘ΠΊΠ°Ρ‡Π°Ρ‚ΡŒ Π²ΠΈΠ΄Π΅ΠΎ с ΡŽΡ‚ΡƒΠ± ΠΏΠΎ ссылкС ΠΈΠ»ΠΈ ΡΠΌΠΎΡ‚Ρ€Π΅Ρ‚ΡŒ Π±Π΅Π· Π±Π»ΠΎΠΊΠΈΡ€ΠΎΠ²ΠΎΠΊ Π½Π° сайтС: Mkasi | SO9E11 with Zitto Kabwe Π² качСствС 4k

Π£ нас Π²Ρ‹ ΠΌΠΎΠΆΠ΅Ρ‚Π΅ ΠΏΠΎΡΠΌΠΎΡ‚Ρ€Π΅Ρ‚ΡŒ бСсплатно Mkasi | SO9E11 with Zitto Kabwe ΠΈΠ»ΠΈ ΡΠΊΠ°Ρ‡Π°Ρ‚ΡŒ Π² максимальном доступном качСствС, Π²ΠΈΠ΄Π΅ΠΎ ΠΊΠΎΡ‚ΠΎΡ€ΠΎΠ΅ Π±Ρ‹Π»ΠΎ Π·Π°Π³Ρ€ΡƒΠΆΠ΅Π½ΠΎ Π½Π° ΡŽΡ‚ΡƒΠ±. Для Π·Π°Π³Ρ€ΡƒΠ·ΠΊΠΈ Π²Ρ‹Π±Π΅Ρ€ΠΈΡ‚Π΅ Π²Π°Ρ€ΠΈΠ°Π½Ρ‚ ΠΈΠ· Ρ„ΠΎΡ€ΠΌΡ‹ Π½ΠΈΠΆΠ΅:

  • Π˜Π½Ρ„ΠΎΡ€ΠΌΠ°Ρ†ΠΈΡ ΠΏΠΎ Π·Π°Π³Ρ€ΡƒΠ·ΠΊΠ΅:

Π‘ΠΊΠ°Ρ‡Π°Ρ‚ΡŒ mp3 с ΡŽΡ‚ΡƒΠ±Π° ΠΎΡ‚Π΄Π΅Π»ΡŒΠ½Ρ‹ΠΌ Ρ„Π°ΠΉΠ»ΠΎΠΌ. БСсплатный Ρ€ΠΈΠ½Π³Ρ‚ΠΎΠ½ Mkasi | SO9E11 with Zitto Kabwe Π² Ρ„ΠΎΡ€ΠΌΠ°Ρ‚Π΅ MP3:


Если ΠΊΠ½ΠΎΠΏΠΊΠΈ скачивания Π½Π΅ Π·Π°Π³Ρ€ΡƒΠ·ΠΈΠ»ΠΈΡΡŒ ΠΠΠ–ΠœΠ˜Π’Π• Π—Π”Π•Π‘Π¬ ΠΈΠ»ΠΈ ΠΎΠ±Π½ΠΎΠ²ΠΈΡ‚Π΅ страницу
Если Π²ΠΎΠ·Π½ΠΈΠΊΠ°ΡŽΡ‚ ΠΏΡ€ΠΎΠ±Π»Π΅ΠΌΡ‹ со скачиваниСм Π²ΠΈΠ΄Π΅ΠΎ, поТалуйста Π½Π°ΠΏΠΈΡˆΠΈΡ‚Π΅ Π² ΠΏΠΎΠ΄Π΄Π΅Ρ€ΠΆΠΊΡƒ ΠΏΠΎ адрСсу Π²Π½ΠΈΠ·Ρƒ страницы.
Бпасибо Π·Π° использованиС сСрвиса ClipSaver.ru



Mkasi | SO9E11 with Zitto Kabwe

September 24, mwaka 1976 ni tarehe muhimu kwenye historia ya siasa na harakati Tanzania! Ni siku alizaliwa Ndugu Zitto Zuberi Kabwe. Kwa sasa ni Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), nafasi anayoishikilia tangu mwaka 2005. Zitto, hakuanza harakati na uongozi baada ya kuingia rasmi kwenye siasa. Katika kipindi cha mwaka 2002-2003, alishika nafasi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Wanafunzi la Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam. Mara baada ya kuhitimu katika Shahada ya Sanaa katika Uchumi, alikwenda nchini Ujerumani ambako alikuwa akisomea masuala ya Masoko ya Kimataifa, na wakati huo huo akisimamia Kurugenzi ya Masuala ya Kimataifa ya Chadema. Mnamo mwaka 2005, Zitto aliamua kujiingiza kwenye kinyang'anyiro cha Uchaguzi na alifanikiwa kutwaa kiti cha Kigoma Kaskazini, nafasi aliyofainikiwa kuitetea tena katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010. Katika nafasi yake kama Mbunge alipata pia kutumikia Taifa kama Mjumbe wa Tume ya Rais ya Kupitia Sekta ya Madini, Kamati ya kuharakisha Mchakato wa Shirikisho la Kisiasa la Afrika Mashariki kati ya nyingi. Kwa sasa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali. Pia amekuwa akisikika sana katika anga za Rasilimali hasa akiongelea kwa ukali mapungufu katika Mikataba ya Uchimbaji wa Madini na Gesi nchini. Hivi karibuni Zitto alivuma sana pale Chama chake kilipomtuhumu kwa Usaliti na kuanzisha vuguvugu la kumvua uanachama, juhudi ambazo kwa sasa zimesimama kutokana na pingamizi la kisheria lililowekwa na upande wake. Pamoja na hayo kumekuwa na fukuto la fununu za hapa na pale kuwa anaweza kuhama chama, na kuhamishia harakati zake katika chama kingine....kipya au kilichopo tangu zamani! Mwaka huu 2014 haukuwa mzuri sana kwani akiwa katikati ya tuhuma za usaliti wa chama, Zitto alipatwa na Msiba wa Mama Yake kipenzi, na mhimili wake mkuu wa faraja na hamasa. Zitto hakutueleza sana kuhusu maisha yake binafsi, ila kama alivyonukuliwa katika mahojiano na Mkasi, alitumia msemo maarufu toka kwenye wimbo wa Hamis Mwinjuma (Mwana FA) maarufu kama "Bado Nipo Nipo", akimaanisha bado hajaoa. Mengi zaidi, endelea kumsikiliza na kutazama show yetu siku alipoamua kuja kwenye Kijiwe cha Mkasi kuongea na Wanamkasi! Furahia! Lβ€’Oβ€’Vβ€’E

Comments
  • Tundu Lissu, Zitto Kabwe Wagusa Panapouma | Washusha Hoja Nzito Mabadiliko Tume ya Taifa Uchaguzi.. 1 year ago
    Tundu Lissu, Zitto Kabwe Wagusa Panapouma | Washusha Hoja Nzito Mabadiliko Tume ya Taifa Uchaguzi..
    ΠžΠΏΡƒΠ±Π»ΠΈΠΊΠΎΠ²Π°Π½ΠΎ: 1 year ago
    188916
  • Mkasi - SO4E02 with Banza Stone 12 years ago
    Mkasi - SO4E02 with Banza Stone
    ΠžΠΏΡƒΠ±Π»ΠΈΠΊΠΎΠ²Π°Π½ΠΎ: 12 years ago
    79715
  • Zitto Kabwe Kwenye SKANA Afafanua ACT Kushiriki Uchaguzi Mkuu | Afunguka Kuhusu Lissu 3 weeks ago
    Zitto Kabwe Kwenye SKANA Afafanua ACT Kushiriki Uchaguzi Mkuu | Afunguka Kuhusu Lissu
    ΠžΠΏΡƒΠ±Π»ΠΈΠΊΠΎΠ²Π°Π½ΠΎ: 3 weeks ago
    11126
  • ЯдСрная Π²ΠΎΠΉΠ½Π°: сцСнарий. Как тСхничСски ΠΏΡ€ΠΎΠΈΠ·ΠΎΠΉΠ΄Π΅Ρ‚ апокалипсис 17 hours ago
    ЯдСрная Π²ΠΎΠΉΠ½Π°: сцСнарий. Как тСхничСски ΠΏΡ€ΠΎΠΈΠ·ΠΎΠΉΠ΄Π΅Ρ‚ апокалипсис
    ΠžΠΏΡƒΠ±Π»ΠΈΠΊΠΎΠ²Π°Π½ΠΎ: 17 hours ago
    530529
  • Why are we failing to protect the Amazon rainforest? - The Climate Question, BBC World Service 2 years ago
    Why are we failing to protect the Amazon rainforest? - The Climate Question, BBC World Service
    ΠžΠΏΡƒΠ±Π»ΠΈΠΊΠΎΠ²Π°Π½ΠΎ: 2 years ago
    70637
  • ΠœΡƒΠ±ΠΎΡ€Π°ΠΊΡˆΠΎ ΠœΠΈΡ€Π·ΠΎΡˆΠΎΠ΅Π²  | MP3 | MUBORAKSHO 6 years ago
    ΠœΡƒΠ±ΠΎΡ€Π°ΠΊΡˆΠΎ ΠœΠΈΡ€Π·ΠΎΡˆΠΎΠ΅Π² | MP3 | MUBORAKSHO
    ΠžΠΏΡƒΠ±Π»ΠΈΠΊΠΎΠ²Π°Π½ΠΎ: 6 years ago
    3216545
  • Book discussion featuring Zitto Kabwe 1 year ago
    Book discussion featuring Zitto Kabwe
    ΠžΠΏΡƒΠ±Π»ΠΈΠΊΠΎΠ²Π°Π½ΠΎ: 1 year ago
    314
  • HOJA MEZANI || Historia ya uongozi ya Zitto Kabwe 1 year ago
    HOJA MEZANI || Historia ya uongozi ya Zitto Kabwe
    ΠžΠΏΡƒΠ±Π»ΠΈΠΊΠΎΠ²Π°Π½ΠΎ: 1 year ago
    1181
  • Как ΠΆΠΈΠ²ΡƒΡ‚ Ρ…Π°ΠΊΠ΅Ρ€Ρ‹? Π€Π‘Π‘, Π΄Π°Ρ€ΠΊΠ½Π΅Ρ‚ ΠΈ ΠΌΠΈΠ»Π»ΠΈΠΎΠ½Ρ‹ Π΄ΠΎΠ»Π»Π°Ρ€ΠΎΠ² |  Π˜ΡΡ‚ΠΎΡ€ΠΈΠΈ мошСнников, ΠΊΠΈΠ±Π΅Ρ€ΠΏΠ°Ρ€Ρ‚ΠΈΠ·Π°Π½ ΠΈ Π·Π΅Ρ‚Π½ΠΈΠΊΠΎΠ² 20 hours ago
    Как ΠΆΠΈΠ²ΡƒΡ‚ Ρ…Π°ΠΊΠ΅Ρ€Ρ‹? Π€Π‘Π‘, Π΄Π°Ρ€ΠΊΠ½Π΅Ρ‚ ΠΈ ΠΌΠΈΠ»Π»ΠΈΠΎΠ½Ρ‹ Π΄ΠΎΠ»Π»Π°Ρ€ΠΎΠ² | Π˜ΡΡ‚ΠΎΡ€ΠΈΠΈ мошСнников, ΠΊΠΈΠ±Π΅Ρ€ΠΏΠ°Ρ€Ρ‚ΠΈΠ·Π°Π½ ΠΈ Π·Π΅Ρ‚Π½ΠΈΠΊΠΎΠ²
    ΠžΠΏΡƒΠ±Π»ΠΈΠΊΠΎΠ²Π°Π½ΠΎ: 20 hours ago
    186569
  • Mkasi - SO3E06 with Ray 12 years ago
    Mkasi - SO3E06 with Ray
    ΠžΠΏΡƒΠ±Π»ΠΈΠΊΠΎΠ²Π°Π½ΠΎ: 12 years ago
    264876

ΠšΠΎΠ½Ρ‚Π°ΠΊΡ‚Π½Ρ‹ΠΉ email для ΠΏΡ€Π°Π²ΠΎΠΎΠ±Π»Π°Π΄Π°Ρ‚Π΅Π»Π΅ΠΉ: [email protected] © 2017 - 2025

ΠžΡ‚ΠΊΠ°Π· ΠΎΡ‚ отвСтствСнности - Disclaimer ΠŸΡ€Π°Π²ΠΎΠΎΠ±Π»Π°Π΄Π°Ρ‚Π΅Π»ΡΠΌ - DMCA Условия использования сайта - TOS