У нас вы можете посмотреть бесплатно NGUVU YA NURU | Ep 2 | или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Vita ya Imani Dhidi ya Giza Katika mji wa Lushamba, mchungaji anayeheshimika sana anaingia kwenye mapambano ya kiroho yasiyotarajiwa baada ya kupoteza mtoto wake kwa kifo cha kutatanisha. Akiwa na huzuni, maswali mengi na kiu ya kupata ukweli, anaingia kwenye maombi na kufunga kwa muda mrefu — bila kujua kwamba maombi yake yameamsha nguvu za giza zilizojificha kwa miaka mingi. Majini na nguvu za kipepo zinazotawala mji huo zinamuona kama tishio, na sasa mashambulizi ya kiroho yanaanza. Je, ataweza kusimama imara? Je, imani yake itamvusha kwenye giza hili? Tazama simulizi hii ya kusisimua ya maombi, majaribu, mapambano na ushindi wa kiroho. ✅ Usisahau ku-Like, Ku-Subscribe na Kushare kwa wengine. #Uchawi #Imani #VitaYaKiroho #Maombi #Mchungaji #Majini #FilamuZaKibongo