У нас вы можете посмотреть бесплатно "AMANI INAPOTOWEKA VINGI VINATOWEKA, RAIS SHAUKU YAKE KILA MMOJA AFANYE VITU KWA UHURU" CHALAMILA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka waumini na Watanzania kwa ujumla kuikataa chuki na kujinyenyekeza mbele za Mungu ili kupata msamaha wa kweli hivyo amesema chuki ni miongoni mwa sababu kuu zinazochochea uovu kwa kasi katika jamii. Chalamila ameyasema hayo aliposhiriki Ibada ya Sikukuu ya Krismasi iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kimara Korogwe, Dar es Salaam "ukiona kuna chuki makanisani ambako msalaba unanena nyakati zote nadhani unaweza ukaelewa Serikalini inaweza kuwa hata mara tano, nyinyi kama waumi mkiruhusu chuki hiyo ikajaa katika kanisa watu elfu tano tunao muabudu Mungu leo mtavunjika mioyo na hamta mtaja mungu tena kama kimbilio ndivyo hivyo silaha ya kweli katika kuisambaratisha chuki katika Serikali ni kupiga tu magoti mbele ya madhabahu haya na kumita mungu asimame kuliongoza Taifa lake