У нас вы можете посмотреть бесплатно SAKATA LA KITITA CHA NHIF HOSPITALI YA MASSANA YATOA TAMKO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#ikuluzanzibar #ccm #samiasuluhuhassan #habarimaelezo #ktnnews #wizarayahabari #wizarayakilimo #wizarayaafya #wizarayaulinzi DAR ES SALAAM: HOSPITALI ya Masana imeendelea kutoa huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wanaojitokeza kutibiwa katika hospitali hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam, Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo, Dk Edward Masatu amesema wao kama hospitali binafsi wanaendelea kutoa huduma kwa wanachama baada ya kufanya majadiliano na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF). Imeandaliwa na Frank Buliro Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09