У нас вы можете посмотреть бесплатно Dr. Chris Mauki - USIINGIE KWENYE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Unajiandaa kuingia kwenye ndoa? Kabla ya kuchukua hatua hiyo muhimu kuna maswali na mazungumzo ya msingi huwa unajiuliza ili kuhakikisha ndoa yako itakuwa thabiti na yenye furaha. Katika video hii, Dkt. Chris Mauki, mtaalamu wa saikolojia ya mahusiano, anakusaidia kuelewa mambo muhimu ya kufahamu kabla ya ndoa. Mambo gani nifanye kabla ndoa haijaja? Mambo gani ya kuzungumza kabla ya kuchumbiana au kuona? Makosa gani nikae mbali nayo kabla sijaingia kwenye ndoa? n.k Video hii ni mwongozo bora kwa yeyote anayefikiria kuingia kwenye ndoa au anayetaka kuimarisha msingi wa maisha ya ndoa. Angalizo: Maudhui haya yamelenga kutoa elimu ya jumla kwa jamii pana na hayana garantii ya moja kwa moja. Ni jukumu la mtu binafsi kufanyia kazi mbinu zinazoendana na muktadha wake. 👉 Usisahau ku-subscribe H.W TV kwa kugusa alama ya kengele kwa maudhui zaidi ya mafunzo, hamasa na mbinu za kuboresha maisha yako kila leo! Tunathamini maoni yako. Shiriki nasi katika mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc au tembelea www.hubofwisdom.com/media #DrChrisMauki #Mahusiano #Ndoa #UshauriWaMahusiano #Saikolojia #thewisetz #wisdom #Tanzania #Kenya #Zanzibar