У нас вы можете посмотреть бесплатно MILLARD AYO AFIKA KWENYE JUMBA LA BILIONEA MULOKOZI "SIO YA NDOTO ZANGU, ANAKUJA KUKAA MFANYAKAZI" или скачать в максимальном доступном качестве, которое было загружено на ютуб. Для скачивания выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
EPISODE ONE: Wengi waliniandikia wakitaka kuliona Jumba hili bila kupitishwa harakaharaka tofauti na video nyingi mitandaoni zilivyolionesha, nikwambie tu nimefika hapa na nimehakikisha napita kila kona... Ni nyumba yenye hadhi ya Presidental ambayo wengi wanaweza kufikiri ndio nyumba ya ndoto zake lakini hapana, mwenyewe anasema hii nyumba ameijenga kwa ajili ya Mfanyakazi wake. Hii ni episode ya kwanza tu ya kukuonesha jumba lenyewe, episode ya pili ni mahojiano maalum na Mulokozi kujua alikoanzia hadi alipofikia, fanya kubonyeza subscribe kwenye Youtube ya millardayo kujionea yajayo yanayofurahisha.