У нас вы можете посмотреть бесплатно #BREAKING или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#BREAKING: Lori la mafuta la Kampuni ya Lake Oil pamoja na lori la mizigo yamepata ajali katika eneo la Kasanga, Kata ya Mindu Manispaa ya Morogoro, Barabara Kuu ya Morogoro - Iringa. Kwa mujibu wa shuhuda wa ajali hiyo, Fuso la mizigo lililokuwa linatoka Iringa, lilikuwa linaovateki Bajaji ndipo likataka kukutana uso kwa uso na lori la mafuta. Kwa kuepuka kugongana uso kwa uso, magari hayo yalikwepana na kila moja likaenda kugonga mti nje kidogo ya barabara. Endelea kutufuatilia zaidi kwa taarifa Zaidi kuhusu ajali hii. Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg