У нас вы можете посмотреть бесплатно MAPYA TANZANIA! MBINU YA KISASA YA UCHIMBAJI MADINI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Shirika la madini stamico limeingia mkataba na kampuni ya uchimbaji wa madini ya Plantcor kwaajili ya uchimbaji wa madini kwenye pori la hifadhi ya msitu wa Kigosi lililopo Bukombe mkoani Geita. Akishuhudia utaji Saini huo naibu Waziri wa madini Steven Kiruswa amewataka wawekezaji kutumia teknolojia ya kisasa ya ndege nyuki katika kufanya utafiti kabla ya kuanza uchimbaji na kuzingatia uwazi katika utoaji wa taarifa ili kunufaisha wananchi. Naibu Waziri huyo pia amesisitiza umhimu wa kamouni husika kutekeleza wajibu wake kwa jamii(CSr)pamoja na kuhakikisha ushirikishwaji wa wananchi katika mnyororonwa thamani wa sekta ya maini kupitia sera ya local content. Fuatilia Mwanzo TV Plus SUBSCRIBE Youtube Channel yetu Follow us on X, Facebook and Instagram