У нас вы можете посмотреть бесплатно Aliyekuwa Commentator wa Radio 47 Amefichua Yote! | Exclusive Interview na Harun Malenga или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika kipindi hiki cha A Talk with Francos, tunakuletea mahojiano ya kipekee na mmoja wa sauti zilizotikisa tasnia ya utangazaji wa michezo nchini Kenya — Harun Malenga. Alijulikana sana kama commentator wa mpira katika Radio 47, akifanya kazi pamoja na majina makubwa kama Mbaruk Mwalimu, Billy Miya, na Hassan Ali Kauleni. Lakini ghafla, akapotea hewani — jambo lililowaacha mashabiki wengi na maswali mengi. Katika interview hii, Harun Malenga anafunguka kuhusu: -Safari yake ya kuwa commentator wa Mpira. -Changamoto alizokutana nazo katika media. -Uzoefu wake ndani ya Radio 47. -Kilichotokea hadi akaondoka hewani. -Maisha yake sasa na mipango ya baadaye. -Hii ni hadithi ya juhudi, mafanikio, na ukweli ambao wengi hawaujui. 👉 Kama unapenda content kama hii, subscribe kwa Francos Of Africa na uwashe notification 🔔 #ATalkWithFrancos #HarunMalenga #Radio47 #SportsCommentary #KenyanMedia #FootballCommentary #KenyaYouTube #MediaKenya #KenyanJournalists #AfricanStories #PodcastAfrica #YouTubeKenya #ExclusiveInterview #SportsMedia