У нас вы можете посмотреть бесплатно MAZUNGUMZO KUJIBIZANA: SOMO LA 04 (Tizama Mazungumzo ya Jinsi ya Kiume na Kike Kwa Lugha ya Kiarabu) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
USISAHAU KU-SUBSRIBE, LIKE, COMMENT & SHARE hili Kuwa Wakwanza Kuona Masomo Yetu Mapya. ASSALAAM ALYKUM. TUMEANZISHA Group kwaajili ya ambao wangependa kujifunza kuongea kiarabu. Katika Group hili utapata nafasi ya kipekee kuuliza maswali tofauti tofauti ya kiarabu. Pia utapata nafasi ya kufanya mazoezi ya namna ya kuongea kiarabu. ANGALIZO: Ili uweze kuungwa kwenye Group hili ni lazima uwe umetoa kuanzia TShs 2,000/=Tu utaunganishwa moja kwa moja katika Group letu la WhatsApp. LENGO: La kuanzisha Group hili ni kwaajili ya kuwasaidai watu ambao wapo siriazi na wanaitaji kujifunza kuongea kiarabu. SISI tumejitoa kuakikisha kwamba kwa uwezo wa ALLAH kila Mtanzania apate kuimudu lugha ya kiarabu kwa wepesi, ili kuweka usawa kwa wote. HAKUNA MALIPO YA ADA KWA MWEZI WALA KWA MWAKA KWENYE GROUP HILI. KIINGILIO CHAKO NI KUANZIA TSHS 2,000/=TU INSHAALLAH MAELEZO ZAIDI TUPIGIE +255 621 552 262 +255 715 953 766