У нас вы можете посмотреть бесплатно MUSUKUMA, BASHUNGWA wambana Mkurugenzi | Kataa kama nasema uongo! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa jimbo la Geita vijijini, Joseph kasheku musukuma, katika ziara ya Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa jimboni kwake amemtolea uvivu MKurugenzi wa Halmashauri ya Geita, baada ya miradi inayoendelea jimboni kwake kutokutekelezwa kwa wakati kutokana na sababu zisizokuwa na msingi. Mbunge Musukuma, amesema fedha zinazotolewa na serikali katika miradi ya maendeleo zinatumiwa vibaya na zingine hazionekani zinavyotumika, ametoa mfano jinsi ambavyo gari lililopaki linawekewa mafuta Na dereva anasaini fedha wakati gari halitumiki, ambapo amemuuliza mkurugenzi fedha hizo zinakwenda wapi?. Dokta musukuma, amesema katika jimbo lake hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kuleta mchezo na fedha zinazotolewa na serikali kwajili ya maendeleo, kwani yeye yupo tayari hata kupigana ngumi ili mradi kazi ifanyike na amaemuomba Waziri kuleta tume ya uchunguzi katika halmashauri ya wilaya ya geita vijijini ili kukomesha ubadhilifu wa fedha! #Musukuma #Bashungwa #Geita