У нас вы можете посмотреть бесплатно DKT. NCHEMBA AMUAGA RAIS WA BENKI YA DUNIA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amemuaga Rais wa Benki ya Dunia Bw. Ajay Banga, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, baada ya kuhitimishwa kwa Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika, uliomalizika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB, zimeahidi kutoa dola za Marekani bilioni 40 sawa na zaidi ya shilingi za Tanzania trilioni 102 kwa ajili ya kuwawezesha watu milioni 300 barani Afrika kufikiwa na huduma ya nishati ya umeme katika kipindi cha miaka mitano ijayo.