У нас вы можете посмотреть бесплатно MAAJABU YA MWAKA! FISI AUAWA SIMIYU, AKUTWA NA SHANGA YENYE HIRIZI NA KUCHORWA MAJINA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakazi wa Itilima mkoani Simiyu wamekumbwa na taharuki mara baada ya askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori TAWA wakiwa katika operesheni ya kuwasaka wanyama wakali na waharibifu kumuua kwa risasi fisi na kukutwa akiwa na maandishi kwenye paja pamoja na hirizi shingoni. Tukio hilo la kustaajabisha limetokea wakati operesheni ya kuwasaka fisi hao ikiendelea katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Itilima na kuwafanya wakazi wa wilaya hiyo kugubikwa na mshangao mkubwa wa fisi huyo. Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg