У нас вы можете посмотреть бесплатно UWEKEZAJI KIWANDA CHA MAFUTA CHA ALIZETI CEMEX или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wananchi wa Dodoma Kunufaika na Uwekezaji kupitia Upanuzi wa Kiwanda cha Mafuta ya Alizeti Cemex Wananchi wa Dodoma wanaendelea kunufaika na uwekezaji kupitia upanuzi wa kiwanda cha kuzalisha mafuta ya alizeti cha Cemex kilichopo jijini Dodoma. Mradi huu umefikia hatua nzuri, ambapo mashine za kisasa zimewekwa ili kuongeza uwezo wa uzalishaji wa mafuta yenye ubora wa hali ya juu. Kupitia upanuzi huu, wakazi wa Dodoma wataendelela kunifaika kwa njia mbalimbali, ikiwemo fursa za ajira, ujuzi wa kisasa katika kiwanda hiki, pamoja na wakulima wa mbegu za alizeti kupata soko la uhakika kwa mazao yao.