У нас вы можете посмотреть бесплатно Julius Mzeru: Bendi ya Orchestra Mlimani Park ilikuwa ni Shule ya Muziki. Amueleza Adam Zuberi... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Channel yako ya Muziki na Wanamuziki, leo inakuletea mahojiano matamu na ya kusisimuwa. Mchambuzi wako mahiri wa Muziki Adam Zuberi a.k.a "GUGO WA MUZIKI" leo anaongoza mahojiano akiwa na Julius Mzeru aliyekuwa mpiga gitaa zito la besi kwenye bendi kongwe na mashuhuri wakati huo ilipokuwa ikiitwa MLIMANI PARK ORCHESTRA 'Sikinde Ngoma ya Ukae'. Juliasi Mzeru anatuelezea zaidi kuhusu wimbo wao uliovuma sana uliokwenda kwa jina la 'Nelson Mandela' pamoja na habari na umahiri wa mtunzi wa wimbo huo Joseph Mulenga a.k.a Spoler. Tunategemea utafurahia mahojiano haya, utaburudika na kujifunza pia. Kama hivyo ndivyo, basi tafadhali usisahau kubonyeza kitufe chekundu kilichoandikwa Subscribe ili uweze kupata habari zetu zote kila tutakapozibandika hapa kwenye channel yetu ya MUZIKI NA WANAMUZIKI. Pia jisikie huru kutoa maoni yako, ushauri wako, maombi na hata pongezi zako ili tuweze kuwa pamoja zaidi na kukuletea vitu utakavyovifurahia. Tunakuahidi kuwa tutasoma kila ujumbe utakaotumwa hapa na pale itakapotubidi kujibu, basi tutajibu. Ili usipitwe na habari yoyote ile itakayotundikwa kwenye channel hii, tafadhali click link ifuatayo ili uweze kuwa wa kwanza kujulishwa kuhusu habari mpya MUZIKI NA WANAMUZIKI* / @muzikinawanamuziki Fresh Jumbe YouTube / freshjmw Adam Zuberi Facebook https://www.facebook.com/profile.php?... Fresh Jumbe Facebook / akida.mtwana Website https://freshjumbe.com/