У нас вы можете посмотреть бесплатно Je Uongozi wa CCM Unatikiswa na Fumua-Fumua ya Ghafla Ndani ya Sekretarieti? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Je, fumua-fumua mpya ya uongozi inakaribia ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM)? Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika zinaeleza kuwa mchakato wa kufanya mabadiliko ya uongozi na watendaji wa sekretarieti unaendelea, na huenda ukagusa hata safu za juu za uongozi wa chama tawala wakati wowote kuanzia sasa. Iwapo mabadiliko haya yatatekelezwa, CCM itakuwa imefanya marekebisho makubwa ndani ya kipindi cha miezi sita tangu mabadiliko ya mwisho yaliyofanyika Agosti 23, 2025, ambapo Asha-Rose Migiro aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho. Hali hii inaibua maswali mazito kuhusu mwelekeo wa uongozi wa chama, mkakati wa ndani, na athari zake kwa mustakabali wa siasa nchini. Katika video hii, tunachambua kwa kina kinachoendelea nyuma ya pazia la fumua-fumua ya CCM: 👉 nini kinachochochea mabadiliko haya? 👉 yataigusa vipi safu za juu za uamuzi? 👉 na yana maana gani kwa mustakabali wa siasa za Tanzania? Tazama hadi mwisho upate picha kamili ya mvutano wa ndani, mikakati ya chama tawala, na athari za mabadiliko ya uongozi kwa demokrasia na mazingira ya kisiasa nchini Tanzania. 🔔 SUBSCRIBE kwa habari za kisiasa na uchambuzi wa kisheria Tanzania: / @harakatitv #siasatanzania #uchambuzi #harakatitv #ccm #UongoziWaCCM #tundulissu #uchaguzi2025 #breakingnews ━━━━━━━━━━━━━━━━━━━ 📧 Wasiliana nasi: [ mculwe@gmail.com ] ━━━━━━━━━━━━━━━━━━━ News Theme 1 by Audionautix is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 license. https://creativecommons.org/licenses/... Artist: http://audionautix.com/