У нас вы можете посмотреть бесплатно JIFUNZE ISLAMIC FINANCE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
🎙️ ISLAMIC FINANCE NI NINI? Katika mazungumzo haya tunaelezea kwa undani kuhusu Islamic Finance na jinsi mfumo huu wa kifedha unavyofanya kazi kwa kufuata kanuni za Sharia ya Kiislamu. ☪️ Islamic Finance ni mfumo wa fedha unaotegemea sheria na maadili ya Uislamu, ambapo mambo kama riba (interest) hayaruhusiwi. Badala yake mfumo huu unasisitiza uadilifu, usawa, uwazi, na haki katika biashara na uwekezaji. ⚖️ Kupitia mazungumzo haya utajifunza: 📌 Maana halisi ya Islamic Finance 📌 Jinsi Sharia inavyoongoza masuala ya fedha 📌 Tofauti kati ya finance ya kawaida na Islamic finance 📌 Umuhimu wa kufuata kanuni za Kiislamu katika biashara