У нас вы можете посмотреть бесплатно MBUNGE wa HANDENI Aahidi KUTATUA KERO za MADEREVA wa BODABODA.. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MBUNGE wa HANDENI Aahidi KUTATUA KERO za MADEREVA wa BODABODA.. Mbunge wa handeni vijijini, John Salu, amewatembelea waendesha pikipiki wa kata ya kwedizinga wilayani humo kama sehemu ya kuwashukuru kwa kumpigia kura pamoja na kutaka kufahamu kero mbalimbali zinazowakabili ili aweze kuzitatua. Ni majira ya saa moja usiku, ambapo mbunge wa handeni vijijini, John Salu, aliamua kuwasalimia bodaboda wa kata ya kwedizinga na wananchi waliompigia kura kwenye uchaguzi mkuu uliomalizika Oktoba 25 mwaka huu..... Mara baada ya kufika katika kata hiyo wananchi hao walifurahishwa na ujio wake lakini ndipo walipoamua kuelezea kero mbalimbali zinazowakabili huku kero ya barabara ikiwa ndio kilio kikubwa kwao.... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo... ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline