У нас вы можете посмотреть бесплатно KAULI YA MSIGWA YATIKISA MWANZA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MWANZA: KADA wa Chama Cha Mapinduzi, Mchungaji Peter Msigwa ametema cheche mkoani Mwanza akisisitiza kuwa kila maendeleo yanayoonekana nchini kwa sasa yana sura ya Rais Samia Suluhu Hassan, na kusisitiza kuwa hakuna chama wala kiongozi mwingine anayeweza kuipeleka Tanzania mbele zaidi ya CCM. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza juzi jioni, Msigwa alisema mafanikio yaliyopatikana kupitia uongozi wa Rais Samia yanaonekana wazi kwenye sekta za elimu, afya, miundombinu, umeme na maeneo mengine ya kijamii na kiuchumi. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09