У нас вы можете посмотреть бесплатно A1. Ushirika Na Roho Mtakatifu | Mwalimu Huruma Gadi - 07.12.2022 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Unapotumika kujenga nyumba ya Mungu maana yake wewe ni mkamilifu huna mapungufu ya aina yoyote, wewe ni safi, wewe ni mwenye haki, mtakatifu, hauna hatia wala mawaa mbele za Mungu. Hakuna marekebisho. Ufahamu huu ni muhimu sana katika kufanya ushirika na Roho Mtakatifu vinginevyo ibilisi atakuwa anakunyuka kila mara utakapokuwa ukisimama mbele za Mungu. Ungependa kuungana na Mwalimu Huruma Gadi katika kuhakikisha Injili hii inafikia watu wengi: CHANGIA GHARAMA ZA INJILI KATIKA RADIO HABARI MAALUM (97.7) NA RADIO NAKONDE. CRDB BANK ACCOUNT NUMBER:0112020439000 JINA LA ACCOUNT: HURUMA MATHEW GADI AU MPESA 0764500242 TIGOPESA 0673500242 AIRTEL MONEY 0789500242 JINA: HURUMA GADI Mfuatilie Mwalimu Huruma Gadi: Instagram: / mwalimuhurumagadi Facebook: / mwalimuhurumagadi Twitter: / mwalimuhurumagadi Podcast: http://ow.ly/mwalimuhurumagadi