У нас вы можете посмотреть бесплатно WANAWAKE WATAKIWA KUTHAMINIANA NA KUSHIRIKIANA KATIKA MAENDELEO. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wanawake nchini wametakiwa kuendeleza upendo, kuheshimiana na kusaidiana miongoni mwao badala ya kujihusisha na tabia zisizo na tija, ili waweze kujenga mshikamano utakaowasaidia kufikia maendeleo ya pamoja. Wito huo umetolewa na Seria Masole aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla ya Usiku wa Mwanamke iliyoandaliwa na MC Lidia, ambapo amesisitiza umuhimu wa wanawake kushirikiana katika shughuli za maendeleo na kuaminiana katika juhudi za kujijenga kiuchumi na kijamii. Katika hatua nyingine, wanawake walioshiriki hafla hiyo walieleza kutambua thamani yao katika jamii, huku Katibu wa MC Lidia akibainisha kuwa lengo lao ni kuendelea kuhamasisha wanawake kushirikiana ili kila mmoja aweze kunufaika na fursa mbalimbali na kupata mafanikio chanya kama mwanamke.