У нас вы можете посмотреть бесплатно #majitaglobal или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
JIFUNZE JINSI YA KUFUA NGUO ZENYE UCHAFU SUGU KWA KUTUMIA SABUNI ZA MAJITA GLOBAL CLEANING AND BEAUTY SOLUTION. Sabuni za kufua nguo zenye nguo sugu:- 1.LAUNDRY BLEACH:- MATUMIZI YAKE √ Laundry bleach (JIK)-imetengenezwa kwa ajili ya kufulia nyuo nyeupe,kuondoa madoa sugu,kuua vidudu na kuacha nguo zako safi. Laundry bleach ya Majita inaweza kuondoa aina zote za uchafu sugu Kama vile damu,uchafu wa chakula, uchafu wa wino bila kufikicha wala kutumia nguo ni kuloweka nguo yako chafu kwenye kifaa husika Kama Vile Ndoa au beseni ikiwa imewekwa Jik bill kuchanganya na maji au sabuni.acha nguo iyo ndani ya Dakika 15 au zaidi kulingana na uzito wa nguo yako baada ya muda huo toa nguo yako kwenye Jik. . . . 2 LIQUID SOAP (MULTCLEANER) √ Multclean ni sabuni ya maji iliyotengenezwa kwa ajili ya kufulia nguo,kuoshea vyombo vya nyumbani na kusafisha usafiri mfano Gari, pikipiki N.K . . 3 FABRIC SOFTENER ni sabuni ya maji iliyotengenezwa kwa ajili yakusuzia nguo za aina zote na kuzipa nguo zako kuwa na harufu nzuri na kuacha nguo zako Katika muonekano wa asili na kwa watumiaji wa mashine ya kufulia hutumika kwa ajili ya kutoa kutu kwenye mashine za aina zote. . TIKISA KABLA YA KUTUMIA / WEKA MBALI NA WATOTO . . . . MOROGORO KIHONDA KILIMANJARO 255 677 072 813 255 785 807 987 +255 759 449 277 Instagram:https://instagram.com/majitaglobal?ig... Facebook page: / majita-global-cleaning-beauty-solution-170... Twitter:"Home / Twitter" https://mobile.twitter.com/home E-mail :majitaglobal@gmail.com